Vidokezo za Karatasi ya Kwanza

  • Karatasi ya kwanza ya Kiswahili humhitaji mwanafunzi kutumia ubunifu wake mkubwa wa kuandika pamoja na umbuji wa hoja na mawazo yaliyo na ustadi mkubwa.
  • Karatasi ya kwanza hua na maswali manne, ambapo swali la kwanza ni la lazima. Maswali yamayofuata ni maswali ya hiari. Hivyo basi itamlazimu mtahiniwa kufanya maswali mawili pekee.
  • VIDOKEZO!
  • Sura ya insha zote za kiuamilifu. Lazima afahamu umbo la kila aina ya insha.
  • Urefu wa insha yake. Maneno yasiwe mengi Zaidi au machane yawe takriban maneno 400
  • Azingatie nyakati kulingana na aina ya insha.
  • Azingatie cheo na nyadhifa ya kila mhusika atakaye muandika katika insha yake.
  • Azingatie vyema alama za uakifishaji.
  • Scroll to Top